Msanii wa kizazi kipya Diamond anasdikika kucopy na kupaste nyimbo yake mpya kutoka kwa wasanii wenzake ambao ni H BABA NA PASHA.... Beat iliyotumika katika wimbo huo wa Diamond ni beat ya PASHA na Idea ya Wimbo imetoka kwa H BABA.... Wadau wanasema huu ndio mwisho wa Diamond kuwika