Thursday, November 8, 2012

DIAMOND ACOPY NA PASTE NGOMA YAKE MPYA

Msanii wa kizazi kipya Diamond anasdikika kucopy na kupaste nyimbo yake mpya kutoka kwa wasanii wenzake ambao ni H BABA NA PASHA....  Beat iliyotumika katika wimbo huo wa Diamond ni beat ya PASHA na Idea ya Wimbo imetoka kwa H BABA.... Wadau wanasema  huu ndio mwisho wa Diamond kuwika

No comments:

Post a Comment