Wednesday, November 7, 2012

OBAMA VICTORY

Hatimae RAISI OBAMA achaguliwa kuongoza tena nchi ya Marekani baada ya kumpiku mgombea mwenza MITT ROMLY kwa kura nyingi. Obama katika hutuba yake baada ya kutangazwa kuwa Raisi aliwashukuru wamarekani kwa kumpa miaka mingine minne na kuawahaidi atafanikisha kila kitu ndani ya Muada atao litumikia Taifa hilo.

No comments:

Post a Comment